• HABARI MPYA

    Monday, December 14, 2015

    ARSENAL NA BARCELONA, CHELSEA NA PSG TENA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

    RATIBA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA...

    Paris Saint-Germain vs Chelsea
    Benfica vs Zenit St Petersburg
    (Mechi za kwanza Februari 16, marudiano Machi 9)
    Gent vs Wolfsburg
    Roma vs Real Madrid
    (Mechi za kwanza Februari 17, marudiano Machi 8)
    Arsenal vs Barcelona
    Juventus vs Bayern Munich 
    (Mechi za kwanza Februari 23, marudiano Machi 16) 
    PSV Eindhoven vs Atletico Madrid
    Dynamo Kiev vs Manchester City 
    (Mechi za kwanza Februari 24, marudiano Machi 15)

    Olivier Giroud (kushoto) alifunga hat-trick dhidi ya Olympiacos wiki iliyopita kuiwezesha Arsenal kusonga mbele Ligi ya Mabingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA

    TIMU ya Arsenal itamenyana na Barcelona kwa mara ya tatu ndani ya miaka sita katika hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya.
    The Gunners walishinda mechi zao mbili za mwisho na Dinamo Zagreb na Olympiacos kusonga mbele kutoka Kundi F, lakini sasa watamenyana na Barca ya kocha Luis Enrique kuwania Robo Fainali.
    Jose Mourinho kwa mara nyingine amepangiwa Paris Saint-Germain, wakati Manchester City itamenyana na Dynamo Kiev.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL NA BARCELONA, CHELSEA NA PSG TENA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top