• HABARI MPYA

    Sunday, September 06, 2015

    SAMATTA NA KAPTENI WA SUPER EAGLES AHMED MUSA WALIKUWA WANETETA NINI HAPA?

    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta akikukumbatiana kwa furaha na Nahodha wa Nigeria, Ahmed Musa kabla ya mchezo wa Kundi G jana kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Musa alitumia sekunde kadhaa kuteta na Samatta wakati wanasalimiana. 
    Desemba mwaka jana, Samatta alikwenda klabu ya CSKA Moscow kwa majaribio, ambako walikutana na Musa (pichani chini) anayechezea vigogo hao wa Urusi. Pamoja na Samatta kufuzu majaribio, klabu yake, TP Mazembe ya DRC iligoma kumuuza
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA NA KAPTENI WA SUPER EAGLES AHMED MUSA WALIKUWA WANETETA NINI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top