GARETH BALE ASHINDWA KUIBEBA WALES MBELE MAYAHUDI, SARE 0-0 CARDIFF
Mshambuliaji wa Wales, Gareth Bale akifumua shuti mbele ya wachezaji wa Israel katika mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2016 leo Uwanja wa Cardiff, timu hizo zikitoka sare ya bila kufunganaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment