Anapasua: Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi akiatoka mabeki wa Ujerumani katika Fainali ya Kombe la Dunia usiku huu Uwanja wa Maracana, Rio de Jenerio, Brazil, Ujerumani ilishinda 1-0

Messi alifanikiwa kufumua shut zuri kwa guy lake la kushoto

Shuti la Messi lilikwenda kasi langoni mwa Ujerumani

Bahati mbaya likatoka nje sentimita chache kama anavyolishuhudia kipa Manuel Neuer wa Ujerumani



.png)
0 comments:
Post a Comment