Haikuwa bahati: Mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain akitumbukiza mpira nyavuni dakika ya 32, lakini hata hivyo kibendera kikanyooshwa kwamba alikuwa amoetea

Higuain (kulia) akijiandaa kushangilia, kabla ya mshika kibendera kumkata maini

Higuain na Rojo wakikimbia kushangilia 'bao hewa'

Kipa Manuel Neuer (katikati) alitoka kuokoa mpira dhidi ya Gonzalo Higuain na akamchezea rafu kwenye mstari wa kuingia eneo la hatari, kabla ya kuupangua mpira.

Lakini refa aliweka mpira upigwe kuelekea lango la Argentina, kana kwamba Higuain ndiye aliyecheza rafu


.png)
0 comments:
Post a Comment