
Chris Smalling wa United kushoto akipambana na Mauro Icardi wa Inter Milan

Mauro Icardi kushoto akipambana na Ander Herrera

Juan Mata wa Man United kulia akimtoka Juan Jesus

Ander Herrera akipiga mpira dhidi ya Dodo wa Inter Milan

Kocha wa United, Louis van Gaal akizungumza na beki Luke Shaw ambaye amemuambia hayuko fiti kiasi cha kutosha na kumtaka afanye mazoezi ya peke yake kujiweka fiti kwanza

Beki wa zamani wa Man United, Nemanja Vidic, ambaye amehamia Inter Milan msimu huu jana alikutana na klabu yake ya zamani



.png)
0 comments:
Post a Comment