• HABARI MPYA

  Thursday, July 31, 2014

  RASMI, EVERTON WAJIBEBEA JUMLA LUKAKU KWA PAUNI MILIONI 28

  Dili limetiki: Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, Romelu Lukaku akiwa ameshika jezi ya Everton pamoja na kocha Roberto Martinez jana, baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 28 kutoka Chelsea. Lukaku alijiunga na Chelsea misimu mitatu iliyopita lakini akaambulia kucheza mechi 10 tu za Ligi Kuu England Stamford Bridge kabla ya kutolewa kwa mkopo West Brom na baadaye Everton anakohamia jumla.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASMI, EVERTON WAJIBEBEA JUMLA LUKAKU KWA PAUNI MILIONI 28 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top