• HABARI MPYA

  Saturday, July 26, 2014

  SUNDERLAND YASAJILI SHAVU LA KUSHOTO LA CHELSEA, NI KINDA LA KIHOLANZI

  KLABU ya Sunderland imekubali kumchukua kwa mkopo beki wa kushoto Patrick Van Aanholt kutoka Chelsea.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, ambaye alikuwa ana mwaka zaidi katika mkataba wake, misimu miwili na nusu iliyopita alichezea Vitesse Arnhem.
  Mholanzi Van Aanholt, ambaye ameichezea mechi nane Chelsea, pia amecheza kwa mkopo timu za Wigan, Leicester, Newcastle na Coventry.

  Tabasamu: Patrick van Aanholt akiwa na jezi ya timu yake mpya baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo Stadium of Light
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUNDERLAND YASAJILI SHAVU LA KUSHOTO LA CHELSEA, NI KINDA LA KIHOLANZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top