KIUNGO Remy Cabella amewasili Newcastle kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 12 kutua St James Park.
Nyota huyo wa Montpellier ya Ufaransa ametua Tyneside kukamilisha vipimo vya afya kabla ya kumalizia usajili wake.
Kocha Alan Pardew alijaribu bila mafanikio kumsaini Cabella katika dirisha la Januari kufuatia Yohan Cabaye kuhamia Paris St Germain.



.png)
0 comments:
Post a Comment