• HABARI MPYA

  Sunday, July 05, 2020

  ARSENAL YAICHAPA WOLVES 2-0 NA KUJIVUTA JUU KWENYE MSIMAMO

  Winga chipukizi, Bukayo Saka akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 43, kabla ya Alexandre Lacazette kufunga la pili dakika ya 86 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Molineux. Ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 49 na kupanda nafasi moja hadi ya saba, sasa ikizidiwa pointi moja na Wolves baada ya timu zote kucheza mechi 33 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA WOLVES 2-0 NA KUJIVUTA JUU KWENYE MSIMAMO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top