• HABARI MPYA

    Thursday, January 09, 2020

    KOCHA MPYA WA YANGA SC ALIVYOWASILI LEO NA MOJA KWA MOJA KUIFUATA TIMU ZANZIBAR

    Afisa Mhamasishaji wa Yanga SC, Antonio Nugaz (kulia) baada ya kumpokea kocha mpya mtarajiwa wa klabu hiyo, Mbelgiji, Luc Aymael (kushoto) aliyewasili Dar es Salaam leo na moja kwa moja kwenda kuungana na timu visiwani Zanzibar kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi
    Luc Aymael anakuja Yanga baada ya kuzifundisha klabu za AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Missile ya Gabon, AFC Leopard ya Kenya, Rayon Sport ya Rwanda, JS Kairouan ya Tunisia, Al Nasr ya Dubai, Al Merreikh ya Sudan, Polokwane City, Free State Stars, Black Leopard za Afrika Kusini na Tala'ea El Gaish ya Misri
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOCHA MPYA WA YANGA SC ALIVYOWASILI LEO NA MOJA KWA MOJA KUIFUATA TIMU ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top