• HABARI MPYA

  Saturday, December 08, 2018

  LUKAKU AFUNGA MAN UNITED YASHINDA 4-1 DHIDI YA FULHAM

  Wachezaji wa Manchester United, Juan Mata na Marcus Rashford wakimtania Romelu Lukaku baada ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Everton na Chelsea kumaliza ukame wa mabao Old Trafford kufuatia kufunga bao la tatu dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Fulham leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.
  Mabao mengine ya Man United ya kocha Mreno, Jose Mourinho yamefungwa na Ashley Young dakika ya 13, Juan Mata dakika ya 28 na Marcus Rashford dakika ya 82 wakati la wageni limefungwa na Aboubakar Kamara kwa penalti dakika ya 67 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA MAN UNITED YASHINDA 4-1 DHIDI YA FULHAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top