• HABARI MPYA

    Saturday, December 08, 2018

    BAO ZURI LA TIK TAK LA LUCAS TORREIRA ARSENAL YASHINDA 1-0

    Lucas Torreira akibinuka tik tak kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 83 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAO ZURI LA TIK TAK LA LUCAS TORREIRA ARSENAL YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top