• HABARI MPYA

  Wednesday, November 07, 2018

  PSG YAAMBULIA SARE KWA NAPOLI 1-1 LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Napoli, Marek Hamisk na Jose Callejon katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjii Napoli. Timu hizo zilifungana 1-1, PSG wakitangulia kwa bao la Juan Bernat dakika ya 45 na ushei, kabla ya Lorenzo Insigne kuisawazishia Napoli kwa penalti dakika ya 62, kufuatia Jose Callejon kuchezewa rafu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG YAAMBULIA SARE KWA NAPOLI 1-1 LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top