• HABARI MPYA

  Wednesday, November 07, 2018

  BARCELONA WAFUZU HATUA YA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Wachezaji wa Barcelona wakimpongeza Malcom Filipe Silva de Oliveira baada ya kufunga bao dakika ya 83 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Inter Milan usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan.
  Inter ilisawazisha kupitia kwa Mauro Icardi anayetakiwa na Real Madrid dakika ya 87 na kwa matokeo hayo, Barcelona inajihakikishia kufuzu hatua ya 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA WAFUZU HATUA YA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top