• HABARI MPYA

  Wednesday, October 17, 2018

  UHOLANZI YALAZIMISHA SARE NA UBELGIJI 1-1 MECHI YA KIRAFIKI

  Mshambuliaji wa Uholanzi, Memphis Depay akipambana na mchezaji wa Ubelgiji katika mchezo wa kirafiki usiku wa Jumanne Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Dries Mertens alianza kuifungia Ubelgiji dakika ya tano, kabla ya Arnaut Groeneveld kuisawazishia Uholanzi dakika ya 27 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UHOLANZI YALAZIMISHA SARE NA UBELGIJI 1-1 MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top