• HABARI MPYA

    Wednesday, October 17, 2018

    TAIFA STARS ILIVYOFUFUA MATUMAINI YA KWENDA AFCON KWA KUIPIGA CAPE VERDE JANA

    Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta (kulia) akimtoka beki wa Cap Verde, Carlos Rodrigues katika mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon uliofanyika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Taifa Stars ilishinda 2-0. 
    Nahodha Mbwana Samatta akimiliki mpira mbele ya Fortes Jaffery wa Cape Verde 
    Winga wa Tanzania, Simon Msuva akiwa chini baada ya kuangushwa na Barros Admilosn  wa Cape Verde na kuwa  
    Kipa wa Cape Verde akiwa amedaka mpira huku akilindwa na mabeki wake, Carlos Rodrigues (kulia) na Barros Admilson (wa pili kushoto). Kushoto kabisa Simon Msuva wa Tanzania     
    Beki wa Tanzania, Erasto Nyoni (kulia) akiuwahi mpira dhidi ya Garry Rodrigues wa Cape Verde 
    Kiungo wa Tanzania, Himid Mao (kushoto) akijaribu kumpita Ianique Tavares 'Stopira'
    Beki wa Tanzania, Gardiel Michael akibinuka tik tak katikati ya wachezaji wa Cape Verde 
    Beki wa Tanzania, Shomari Kapombe (kushoto) akipiga mpira mbele ya Garry Rodrigues wa Cape Verde  
    Kikosi cha Tanzania kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam 
    Kikosi cha Cape Verde kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS ILIVYOFUFUA MATUMAINI YA KWENDA AFCON KWA KUIPIGA CAPE VERDE JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top