• HABARI MPYA

  Wednesday, October 17, 2018

  GRIEZMANN AFUNGA MABAO YOTE UFARANSA YAICHAPA UJERUMANI 2-1

  Antoine Griezmann akiinua mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao yote mawili Ufaransa dakika ya 62 akimalizia pasi ya beki Lucas Hernández na dakika ya 80 kwa penalti baada ya Blaise Matuidi kuangushwa kwenye boksi katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ujerumani kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao la Ujerumani lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 14 kwa penalti pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AFUNGA MABAO YOTE UFARANSA YAICHAPA UJERUMANI 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top