• HABARI MPYA

  Wednesday, October 03, 2018

  MAN CITY WAPATA USHINDI WA UGENINI LIGI YA MABINGWA

  David Silva akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 87 ikiilaza 2-1 Hoffenheim katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Wirsol Rhein-Neckar-Arena mjini Sinsheim, Ujerumani. Ishak Belfodil alianza kuifungia Hoffenheim sekunde ya 45 kabla ya Sergio Aguero kuisawazishia Man City dakika ya saba 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY WAPATA USHINDI WA UGENINI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top