• HABARI MPYA

  Wednesday, October 03, 2018

  MAN UNITED WAFIKISHA MECHI NNE BILA USHINDI, MOURINHO...

  Kipa wa Valencia, Neto akichupia mpira kudaka mbele ya mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku wakati wa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 0-0 usiku wa Jumanne Uwanja wa Old Trafford. Huo ni mchezo wa nne mfululizo Man United inacheza bila kushinda, baada za sare ya 1-1 na Wolverhampton, 2-2 Derby County kisha kutolewa kwa penalti kwenye Kombe la Ligi na kufungwa 3-1 na West Ham United, jambo ambalo linaweza kumuweka pabaya kocha Mreno, Jose Mourinho 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAFIKISHA MECHI NNE BILA USHINDI, MOURINHO... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top