• HABARI MPYA

    Wednesday, October 03, 2018

    DYBALA APIGA HAT TRICK JUVENTUS YASHINDA 3-0 LIGI YA MABINGWA

    Mshambuliaji Muargentina, Paulo Dybala akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Juventus mabao yote dakika za tano, 39 na 69 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Young Boys kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Juventus mjini Torino 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DYBALA APIGA HAT TRICK JUVENTUS YASHINDA 3-0 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top