• HABARI MPYA

  Monday, October 15, 2018

  ITALIA YAICHAPA 1-0 POLAND MICHUANO YA LIGI YA MATAIFA YA ULAYA

  Cristiano Biraghi akikimbia kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Italia dakika ya 90 na ushei ikiilaza 1-0 Poland katika mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Slaski mjini Chorzow 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA YAICHAPA 1-0 POLAND MICHUANO YA LIGI YA MATAIFA YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top