• HABARI MPYA

  Tuesday, October 16, 2018

  BRAZIL WAICHAPA ARGENTINA 1-0 BA KUTWAA KOMBE JEDDAH

  Neymar akiwa ameshika Kombe pamoja na Roberto Firmino baada ya ushinid mwembamba wa Brazil wa 1-0 dhidi ya Argentina usiku wa leo bao pekee la Joao Miranda dakika ya 90 na ushei Uwanja wa King Abdullah Sports City mjini Jeddah, Saudi Arabia katika mchezo wa kirafiki 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL WAICHAPA ARGENTINA 1-0 BA KUTWAA KOMBE JEDDAH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top