Bernardo Silva akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la tatu dakika ya 52 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Poland kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Slaski mjini Chorzow. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo yalifungwa Andre Silva dakika ya 31 na Kamil Glik aliyejifunga dakika ya 42, wakati ya Poland yalifungwa na Krzysztof Piatek dakika ya 18 na Jakub Błaszczykowski dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Chilling text NASCAR star Greg Biffle's wife sent to her mom just
minutes before tragic plane crash
-
Seven people were killed on Thursday after a Cessna C550 private jet, owned
by the 55-year-old racing driver, crashed on the runway at Statesville
Regional...
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment