• HABARI MPYA

  Thursday, November 02, 2017

  BASI JIPYA LA MTIBWA TAYARI KWA SAFARI ZA UBINGWA WA LIGI KUU

  Basi jipya la Mtibwa Sugar likiwa tayari kwa matumizi ya timu. Basi hilo lilikuwa linatumika kwa matumizi mengine katika kampuni ya Superdoll, wamiliki wa Mtibwa Sugar kabla ya sasa kuhamishiwa kwa timu, baada ya basi walilokuwa wanatumia kuharibika.

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BASI JIPYA LA MTIBWA TAYARI KWA SAFARI ZA UBINGWA WA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top