• HABARI MPYA

  Sunday, March 05, 2017

  SANE AFUNGA LA PILI MAN CITY YAICHAPA 2-0 SUNDERLAND

  Mfungaji wa bao la pili la Manchester City dakika ya 59, Leroy Sane katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland Uwanja wa Light leo baada ya kuangushwa na Didier N'Dong katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la Man City lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANE AFUNGA LA PILI MAN CITY YAICHAPA 2-0 SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top