• HABARI MPYA

    Monday, March 06, 2017

    YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA MORO

    Winga wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Jamhuri, Morogoro timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana   
    Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akipiga shuti baada ya kumzidi beki wa Mtibwa, Salim Mbonde
    Beki wa Yanga, Oscar Joshua akirusha mpira jana 
    Simon Msuva (kulia) akijadiliana na mchezaji mwenzake, Juma Mahadhi
    Kikosi cha Mtibwa Sugar kabla ya mchezo wa jana
    Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA MORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top