• HABARI MPYA

    Wednesday, March 08, 2017

    MASHABIKI ARSENAL WAMWAGIKA MTAANI NA MABANGO WENGER ANG'OKE

    Mashabiki zaidi ya 200 wa Arsenal wakiandamana usiku wa jana nje ya Uwanja wa Emirates kushinikiza kocha Arsene Wenger aondoke huku wameshika bango la kushinikiza asiongezewe mkataba mpya, baada ya kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya Bayen Munich PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHABIKI ARSENAL WAMWAGIKA MTAANI NA MABANGO WENGER ANG'OKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top