• HABARI MPYA

  Wednesday, March 08, 2017

  ROANDLO AKOSA BAO HUWEZI AMINI, REAL YAIPIGA 3-1 TENA NAPOLI

  Cristiano Ronaldo baada ya kumpiga chenga kipa wa Napoli, Pepe Reina dakika ya 29, lakini akiwa amebaki anatazamana na nyavu, akagongesha mwamba na kukosa bao la wazi. Hata hivyo, Real ilishinda 3-1 katika mchezo huo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli na kwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya kushinda 3-1 pia nyumbani Madrid kwenye mchezo wa kwanza. Mabao ya Real jana yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 51, Dries Mertens aliyejifunga dakika ya 57 na Alvaro Morata dakika ya 90 na ushei. Mertens ndiye aliyefunga poia bao la Napoli dakikaa ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROANDLO AKOSA BAO HUWEZI AMINI, REAL YAIPIGA 3-1 TENA NAPOLI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top