• HABARI MPYA

  Tuesday, November 08, 2016

  SAID TULIY NA JASMINE KATIKA SURA ZENYE KUASHIRIA KUTOFURAHIA

  Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tuliy (kushoto) na Jasmine Costa (kulia) wakifuatilia mchezo wa timu yao dhidi ya African Lyon juzi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Lyon ilishinda 1-0 mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara  
  Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kulia) akifarijiana na rafiki zake baada ya bao pekee la Abdallah Mguhi 'Messi' kuipa ushindi wa Lyon
  Mashabiki wa Simba walikuwa watulivu Jumapili Uwanja wa Uhuru kama hivi
  Waliufuatilia mchezo kwa makini dakika zote 90 na ushei kama hivi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAID TULIY NA JASMINE KATIKA SURA ZENYE KUASHIRIA KUTOFURAHIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top