• HABARI MPYA

    Tuesday, November 08, 2016

    RONALDO ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LA LIGA

    Cristiano Ronaldo akiwa ameshika tuzo ya Alfredo di Stefano inayomaanisha Mchezaji Bora wa La Liga msimu uliopita iliyotolewa na gazeti la Marca jana muda mfupi baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitano na Real Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top