• HABARI MPYA

  Sunday, November 20, 2016

  RONALDO APIGA ZOTE REAL YAIFUMUA 3-0 ATLETICO 'MADRID DERBY'

  Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa amesimama kushangilia kia aina yake baada ya kufunga mabao yote katika ushindi wa 3-0 dhidi ya mahasimu wa jiji la Madrid, Atletico Madrid jana Uwanja wa Vicente Calderon. Mreno huyo alifunga dakika za 23, 71 kwa penalti na 77  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA ZOTE REAL YAIFUMUA 3-0 ATLETICO 'MADRID DERBY' Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top