• HABARI MPYA

  Friday, November 18, 2016

  HAZARD MCHEZAJI BORA WA OKTOBA ENGLAND, CONTE KOCHA BORA

  Nyota wa Chelsea, Eden Hazard akiwa ameshikilia tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Oktoba baada ya kukabidhiwa leo kufuatia kufunga mabao matatu mwezi uliopita   PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

  Kocha wa Chelsea, Antonio Conte akiwa ameshikilia tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Oktoba baada ya kukabidhiwa leo kufuatia kuiongoza The Blues kushinda mechi zote nne za mwezi huo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD MCHEZAJI BORA WA OKTOBA ENGLAND, CONTE KOCHA BORA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top