• HABARI MPYA

  Sunday, November 20, 2016

  DIEGO COSTA AING'ARISHA CHELSEA ENGLAND, YASHINDA 1-0 UGENINI

  Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akiruka kushangilia baada ya kufunga The Blues bao pekee dakika ya 41 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Middlesbrough kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Riverside mjini Middlesbrough  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA AING'ARISHA CHELSEA ENGLAND, YASHINDA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top