AMBAVYO SAMATTA HUVALIA NADHIFU KWA SAFARI ZA GENK
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kulia) akipanda ndege juzi mjini Genk kwenda Bilbao, Hispania kwa ajili ya mchezo wa Europa League jana dhidi ya wenyeji. Genk ilifungwa 5-3 jana
Samatta (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzake, Onyinye Wilfred Ndidi (kulia)
Samatta (kushoto) na wachezaji katika viunga vya Uwanja wa Ndege
0 comments:
Post a Comment