![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akiwatoka mabeki wa JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 4-0 |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Malimi Busungu akichuana na beki wa JKT Ruvu |
![]() |
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu |
![]() |
| Beki wa JKT Ruvu akiondosha hatari langoni mwake |
![]() |
| Kikosi cha Yanga SC jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam |
![]() |
| Kikosi cha JKT Ruvu kilkichokula 4-0 jana Taifa |








.png)
0 comments:
Post a Comment