• HABARI MPYA

    Monday, February 08, 2016

    SIMBA SC ILIVYOENDELEZA WIMBI LA USHINDI KATIKA LIGI KUU JANA

    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akiwatoka mabeki wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. Simba SC ilishinda 1-0, bao pekee la Hajib
    Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza (kushoto) akimtoka beki wa Kagera Sugar, Juma Jabu
    Kiungo wa Kagera, Adam Kingwande akimtoka kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto

    Kikosi cha Simba SC jana Uwanja wa Kambarage, Shinyanga
    Kikosi cha Kagera Sugar jana Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOENDELEZA WIMBI LA USHINDI KATIKA LIGI KUU JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top