• HABARI MPYA

    Monday, February 08, 2016

    AZAM FC NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Beki wa Mwadui FC, Joram Mgeveke (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0
    Nahodha wa Azam FC, John Bocco kushoto akimtia majaribu kipa wa Mwadui FC
    Beki wa Mwadui FC, Malika Ndeule akimiliki mpira pembeni ya winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' 

    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipasua katikati ya wachezaji wa Mwadui FC 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top