• HABARI MPYA

  Wednesday, February 10, 2016

  WEST HAM UNITED YAITUPA NJE LIVERPOOL KOMBE LA FA

  Mshambuliaji wa Liverpool, Divock Origi akienda chini wakati anapambana na mchezaji wa West Ham United, Angelo Ogbonna katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA usiku wa jana Uwanja wa Upton Park. West Ham ilishinda 2-1 na kuitoa Liverpool, mabao yake yakifungwa na Michail Antonio na Ogbonna, wakati la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho. West Ham sasa itamenyana na Blackburn katika Raundi ya Tano Uwanja wa Ewood Park PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WEST HAM UNITED YAITUPA NJE LIVERPOOL KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top