• HABARI MPYA

    Wednesday, February 10, 2016

    MGOSI AFUNGA BAO LA NNE KATIKA MECHI YA 21 SIMBA SC IKIUA 3-0 MEATU

    Mshambuliaji wa Mussa Hassan Mgosi jana amefunga bao lake la nne katika mechi ya 21 tangu arejee Simba SC msimu huu, ikishinda 3-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kombaini ya Meatu, Bariadi mkoani Shinyanga. Mechi hiyo iliyochezwa Uwanja wa Meatu, mabao mengine ya Simba SC yalifungwa na Danny Lyanga na Said Ndemla. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MGOSI AFUNGA BAO LA NNE KATIKA MECHI YA 21 SIMBA SC IKIUA 3-0 MEATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top