• HABARI MPYA

  Monday, February 01, 2016

  RONALDO APIGA HAT TRICK REAL MADRID IKISHINDA 6-0 LA LIGA

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema, James Rodriguez na Oscar Duarte aliyejifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA HAT TRICK REAL MADRID IKISHINDA 6-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top