• HABARI MPYA

    Monday, February 08, 2016

    PHIRI ALIPOAHIDI KUIBAKISHA LIGI KUU MBEYA CITY BAADA YA KUSAINI MKATABA LEO

    Kocha Mmalawi, Kinnah Phiri (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye ofisi ya Meya wa Jiji la Mbeya, Mstahiki David Mwashilindi, (picha ya chini katikati)  baada ya kusaini kufundisha klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo mjini humo
    Kocha Phiri (kushoto) akisaini Mkatava. Katikati ni Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, David Mwashilindi
    Phiri ameahidi kuhakikisha anaibakisha Ligi Kuu Mbeya City kabla ya kuanza kuisuka upya msimu ujao

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PHIRI ALIPOAHIDI KUIBAKISHA LIGI KUU MBEYA CITY BAADA YA KUSAINI MKATABA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top