• HABARI MPYA

  Thursday, February 18, 2016

  MAN UNITED YAJIWEKA NJIA PANDA EUROPA LEAGUE, YACHAPWA 2-1 DENMARK

  Mshambuliaji wa Manchester United, Memphis Depay (kulia) akimtoka beki wa Midtjylland, Nikolay Bodurov katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 michuano ya Europa League usiku wa leo Uwanja wa MCH Arena, Herning, Denmark. Midtjylland imeshinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Pione Sisto na Paul Onuachu, wakati la United itakayohitaji ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa marudiano ili kusonga mbele, limefungwa na Depay PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiondoka na mpira katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 michuano ya Europa League usiku wa leo dhidi ya Fiorentina Federico Bernardeschi Uwanja wa Artemio Franchi, Firenze nchini Italia. Timu hizo zimetoka 1-1 bao la wenyeji likifungwa na Federico Bernardeschi  na la Spurs limefungwa na Nacer Chadli PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAJIWEKA NJIA PANDA EUROPA LEAGUE, YACHAPWA 2-1 DENMARK Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top