• HABARI MPYA

  Friday, February 19, 2016

  GARY NEVILLE APIGA MTU 6-0 ULAYA, LIVERPOOL YALAZIMISHA SARE UJERUMANI

  Kikosi cha Liverpool kilichoanza usiku wa jana dhidi ya Augsburg Uwanja wa WWK Arena nchini Ujerumani katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora michuano ya Europa League uliomalizika kwa sare 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City, Alvaro Negredo wa Valencia akimtoka beki wa Rapid Vienna, Stefan Stangl katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Kombe la Europa League, Mestalla, Hispania. Valencia inayofundishwa na mchezaji wa zamani wa Manchester United, Gary Neville ilishinda 6-0, mabao yake yakifungwa na Santiago Mina Lorenzo mawili, Daniel Parejo, Alvaro Negredo, Andre Filipe Tavares Gomes na Rodrigo Moreno Machado PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GARY NEVILLE APIGA MTU 6-0 ULAYA, LIVERPOOL YALAZIMISHA SARE UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top