• HABARI MPYA

  Sunday, February 07, 2016

  MABONDIA HAWA WALIIJENGEA HESHIMA KUBWA TANZANIA KIMATAIFA

  Timu ya taifa ya ngumi za Ridhaa ambayo ilishiriki Mashindano ya Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia Februari mwaka 1977. Majina kwa mtiririko wa namba ni marehemu Titus Simba aliyekuwa anapigana uzito wa Light Heavy, Lucas Msomba – Light Welter, marehemu kocha William Majwala, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ndondi za Ridhaa Tanzania (TABA), marehemu Salim Seif Nkamba, Emmanuel Mlundwa uzito wa Fly, marehemu Narcis Tarimo aliyekuwa Katibu wa TABA, Ahmed Tesha uzito wa Welter, Habibu Kinyogoli uzito wa Feather, Rashid Mohammed uzito wa Light Fly na matrehemu Alois Nuti uzito wa Middle.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MABONDIA HAWA WALIIJENGEA HESHIMA KUBWA TANZANIA KIMATAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top