• HABARI MPYA

  Tuesday, February 09, 2016

  KING CLASS AKIMPA 'MAUJUZI' MAOKOLA KABLA YA PAMBANO NA SINKALA

  Bondia Ibrahimu Maokola (kushoto) akizipiga na Ibrahim Class 'King Class Mawe' katika mazoezi mjini Dar es Salaam leo. Maokola anajiandaa na pambano la ubingwa wa Taifa dhidi ya Joseph Sinkala litakalofanyika Machi 12 ukumbi wa Dar Live, Mbagala, Dar es Salaam. katikati ni kocha Rajabu Mhamila 'Super D'. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KING CLASS AKIMPA 'MAUJUZI' MAOKOLA KABLA YA PAMBANO NA SINKALA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top