• HABARI MPYA

  Thursday, February 18, 2016

  KIIZA 'DIEGO' ALIVYO 'TAYARI TAYARI' KWA AJILI YA YANGA JUMAMOSI TAIFA

  Mshambuliaji Mganda wa Simba SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akiwa Uwanja ambao klabu hiyo inafanyia mazoezi mjini Morogoro kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIIZA 'DIEGO' ALIVYO 'TAYARI TAYARI' KWA AJILI YA YANGA JUMAMOSI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top