• HABARI MPYA

  Sunday, February 07, 2016

  DIEGO COSTA AINUSURU CHELSEA KULALA KWA MAN UNITED, SARE 1-1 DARAJANI

  Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kuswazisha dakika ya 91 katika sare ya 1-1 na Manchester United Uwanja wa Stamford Bridge kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Man United walitangulia kupata bao kupitia kwa Jesse Lingard dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA AINUSURU CHELSEA KULALA KWA MAN UNITED, SARE 1-1 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top