• HABARI MPYA

  Monday, November 16, 2015

  IBRAHIMOVIC AIFUNGIA BAO LA USHINDI SWEDEN IKIIPIGA 2-1 DENMARK

  Mshambuliaji wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kuifungia bao la pili timu yake kwa penalti dhidi ya Denmark katika mchezo wa mchujo kuwania tiketi ya Euro 2016 usiku huu. Sweden ilishinda 2-1, bao lingine akifunga Emil Forsberg wakati la Denmark lilifungwa na Nicolai Jorgensen PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AIFUNGIA BAO LA USHINDI SWEDEN IKIIPIGA 2-1 DENMARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top