• HABARI MPYA

  Monday, November 23, 2015

  KAVUMBANGU NA NIYONZIMA WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI HAPA?

  Mshambuliaji wa Azam FC, Mrundi Didier Kavumbangu (kulia) akizungumza na kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima (kushoto) juzi Uwanja wa Taifa wa Taifa wa Addis Ababa, Ethiopia ambako michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inaendelea. Kavumbangu anaichezea Burundi, wakati Niyonzima anaichezea Rwanda ambazo zote zimeanza kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya wapinzani wao Ethiopia na Zanzibat. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAVUMBANGU NA NIYONZIMA WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top